Curious Baby Elephant - Mtoto wa Tembo Mdadasi, Judith Baker, Lorato Trok
Curious Baby Elephant - Mtoto wa Tembo Mdadasi. Autor: Judith Baker, Lorato Trok. Mtoto wa tembo anaendelea kuwauliza wanyama wengine maswali hadi anauliza mamba anakula nini. Mamba anauma pua yake na anaivuta hadi inakuwa shina refu.